27 Msishug hulikie sana chakula kiharibikacho bali shughulikieni chakula kidumucho; chakula cha uzima wa milele. Chakula hicho, nitawapeni mimi Mwana wa Adamu, ambaye Baba Mungu mwenyewe amenithibit isha.”

Read full chapter

27 Lakini chakula cha kidunia kinaharibika na hakidumu. Ninyi msifanye kazi ili kupata chakula cha aina hiyo kinachoharibika. Isipokuwa fanyeni kazi ili mpate chakula kinachodumu na kinachowapa uzima wa milele. Mwana wa Adamu atawapa hicho chakula. Yeye ndiye pekee aliyethibitishwa na Mungu Baba kuwapa.”

Read full chapter

27 Do not work for food that spoils, but for food that endures(A) to eternal life,(B) which the Son of Man(C) will give you. For on him God the Father has placed his seal(D) of approval.”

Read full chapter