Sikiliza! Kuna kundi[a] la Shetani. Wanasema kuwa wao ni Wayahudi, lakini ni waongo. Si Wayahudi halisi. Nitawafanya waje mbele yako na kusujudu kwenye miguu yako. Watajua ya kuwa ninakupenda.

Read full chapter

Footnotes

  1. 3:9 kundi Yaani, “sinagogi”.