Font Size
Waebrania 4:9-11
Neno: Bibilia Takatifu
Waebrania 4:9-11
Neno: Bibilia Takatifu
9 Kwa hiyo basi ipo bado sabato ya mapumziko waliyowekewa watu wa Mungu; 10 kwa maana, mtu anayeingia katika pumziko la Mungu, pia hupum zika kutoka katika kazi zake kama vile Mungu alivyopumzika baada ya kazi zake.
11 Basi tujitahidi kuingia kwenye pumziko hilo asije mtu akaanguka kwa kutokuamini kama hao.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica