Msidanganyike, Mungu hadanganywi. Kwa maana kila mtu ata vuna kile alichopanda. Mtu apandaye katika tamaa za mwili, ata vuna kutoka katika mwili uharibifu; lakini yeye apandaye katika Roho, atavuna kutoka katika Roho uzima wa milele.

Read full chapter