Font Size
2 Wakorintho 6:12-14
Neno: Bibilia Takatifu
2 Wakorintho 6:12-14
Neno: Bibilia Takatifu
12 Sisi hatujizuii kuwapenda, bali ninyi mmeuzuia upendo wenu usitufikie . 13 Na sasa nasema kama na watoto wangu: ninyi pia fungueni mioyo yenu kabisa kwetu.
Msiambatane Na Wasioamini
14 Msiambatane pamoja na watu wasioamini. Kwa maana kuna uhusiano gani kati ya haki na uovu? Au kuna ushirika gani kati ya nuru na giza?
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica