Watakataa kabisa kusikia kweli na watageukia hadithi za uongo. Bali wewe uwe imara, katika mambo yote, vumilia mateso, fanya kazi ya mhubiri wa Injili, timiza wajibu wote wa huduma yako.

Maana mimi sasa ni tayari kutolewa kama sadaka, saa ya kuondoka kwangu imefika.

Read full chapter