Add parallel Print Page Options

18 Bwana ataniokoa kutokana na kila mashambulizi maovu na atanileta salama katika Ufalme wake wa mbinguni. Utukufu uwe wake milele na milele. Amina.

Salamu za Mwisho

19 Msalimu Priska na Akila na wale wa nyumbani mwake Onesiforo. 20 Erasto alibaki Korintho. Nilimwacha Trofimo kule Mileto kwa sababu alikuwa mgonjwa.

Read full chapter