Mkulima mwe nye bidii ndiye anayestahili kupata fungu la kwanza la mavuno. Yatafakari haya ninayokuambia, kwa maana Mungu atakupa ufahamu katika mambo yote.

Mkumbuke Yesu Kristo aliyefufuliwa kutoka kwa wafu, aliyez aliwa katika ukoo wa Daudi. Hii ndio Injili yangu ninayoihubiri.

Read full chapter