Askari Mwaminifu Wa Kristo Yesu

Basi, wewe mwanangu, uwe imara katika neema iliyomo ndani ya Kristo Yesu.

Read full chapter

Na mambo ambayo ulinisikia nikiyasema mbele ya mashahidi wengi, uwakabidhi watu waaminifu ambao wataweza kuwa fundisha watu wengine pia.

Read full chapter