Font Size
2 Wakorintho 12:1-4
Neno: Bibilia Takatifu
2 Wakorintho 12:1-4
Neno: Bibilia Takatifu
Maono Ya Paulo Na Mwiba Aliokuwa Nao
12 Inanibidi nijisifu. Ingawa hakuna faida, nitawaeleza juu ya maono na mafunuo niliyopata kutoka kwa Bwana. 2 Namfahamu mtu aliyekuwa ndani ya Kristo ambaye miaka kumi na minne iliyopita alijikuta katika mbingu ya tatu. Kama alikuwa katika mwili au katika roho mimi sijui, Mungu anajua. 3 Na ninafahamu ya kuwa huyu mtu alijikuta yuko Paradiso, kama alikuwa katika mwili au katika roho mimi sijui, Mungu anajua. 4 Naye alisikia mambo ambayo hayawezi kusimuliwa, ambayo mtu hawezi kuyatamka.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica