Font Size
1 Wakorintho 4:5
Neno: Bibilia Takatifu
1 Wakorintho 4:5
Neno: Bibilia Takatifu
5 Kwa hiyo msitoe hukumu kabla ya wakati wake, kabla Bwana hajaja. Yeye atafichua mambo yaliyof ichwa gizani na kwa kuweka wazi nia za mioyo ya watu. Ndipo kila mtu atapokea sifa anayostahili kutoka kwa Mungu.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica