Font Size
1 Wakorintho 16:1-3
Neno: Bibilia Takatifu
1 Wakorintho 16:1-3
Neno: Bibilia Takatifu
Matoleo Kwa Ajili Ya Waamini
16 Na sasa kuhusu matoleo kwa ajili ya kuwasaidia watu wa Mungu. Kama nilivyoagiza makanisa ya Galatia, fanyeni vivyo hivyo. 2 Siku ya kwanza ya juma kila mmoja wenu atenge kiasi cha fedha, kulingana na mapato yake, na fedha hiyo aiweke ili nitaka pokuja pasiwepo na haja ya kufanya mchango. 3 Nikishafika nita wapa wale mtakaowachagua barua za kuwatambulisha, ili waweze kupeleka zawadi yenu Yerusalemu.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica