Font Size
1 Wakorintho 1:28-30
Neno: Bibilia Takatifu
1 Wakorintho 1:28-30
Neno: Bibilia Takatifu
28 Mungu alichagua vitu vya chini na vinavyodharauliwa humu duniani, vitu ambavyo si kitu, ili avibatilishe vile ambavyo vinaonekana kuwa vya maana; 29 ili mtu ye yote asijisifu mbele yake. 30 Mungu ndiye chanzo cha uhai wenu ndani ya Kristo Yesu. Amemfanya yeye kuwa hekima yetu, haki yetu na utakaso na ukombozi
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica