Font Size
1 Timotheo 1:10-12
Neno: Bibilia Takatifu
1 Timotheo 1:10-12
Neno: Bibilia Takatifu
10 wale wal iowazinzi, wafiraji; wale wanaoteka watu nyara, na waongo, na wanaoapa kwa uwongo; na mengine mengi ambayo ni kinyume cha mafundisho ya kweli, 11 ambayo yanaambatana na Injili tukufu ya Mungu Mbarikiwa, ambayo nimekabidhiwa. 12 Nami namshukuru Kristo Yesu Bwana wetu, aliyenitia nguvu na kunihesabu kuwa ni mwaminifu kwa kunichagua nimtumikie.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica