Font Size
1 Petro 4:13-15
Neno: Bibilia Takatifu
1 Petro 4:13-15
Neno: Bibilia Takatifu
13 Bali furahini kwamba mnashiriki katika mateso ya Kristo, ili mpate kufurahi na kushangilia wakati utukufu wake utakapofunuliwa. 14 Kama mkilau miwa kwa ajili ya jina la Kristo, mmebarikiwa, kwa sababu Roho wa Utukufu, yaani Roho wa Mungu, anakaa juu yenu. 15 Lakini asiwepo mtu ye yote kati yenu ambaye atateswa kwa kuwa ni mwuaji, au mwizi, au mhalifu au anayejiingiza katika mambo ya watu wengine.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica