Font Size
1 Petro 2:19-21
Neno: Bibilia Takatifu
1 Petro 2:19-21
Neno: Bibilia Takatifu
19 Maana ni jambo jema kwa mtu kuvumilia taabu za maonevu kwa kukumbuka kuwa Mungu yupo. 20 Maana ni sifa gani kwa mtu kustahimili kupigwa kwa kuwa ametenda uovu? Lakini kama mkis tahimili mateso kwa kutenda wema, mnapata kibali mbele za Mungu. 21 Ninyi mmeitwa kwa ajili hiyo, kwa sababu Kristo naye aliteseka kwa ajili yenu akawaachia kielelezo, mzifuate nyayo zake.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica