Font Size
1 Petro 1:4-5
Neno: Bibilia Takatifu
1 Petro 1:4-5
Neno: Bibilia Takatifu
4 na tupokee urithi usioharibika, usiooza na usiochuja, ambao umewekwa mbinguni kwa ajili yenu. 5 Nanyi, kwa imani, mnalindwa na nguvu ya Mungu mpaka utakapofika wokovu ambao uko tayari kufunuliwa wakati wa mwisho.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica