Font Size
1 Petro 3:8-9
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
1 Petro 3:8-9
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Kuteseka kwa kutenda haki
8 Hivyo ninyi nyote mnapaswa kuishi pamoja kwa amani. Mjitahidi kuelewana ninyi wenyewe. Mpendane kama kaka na dada na muwe wanyenyekevu na wema. 9 Msimfanyie uovu mtu yeyote ili kulipa kisasi kwa uovu aliowatendea. Msimtukane mtu yeyote ili kulipiza matusi aliyowatukana. Lakini mwombeni Mungu awabariki watu hao. Fanyeni hivyo kwa sababu ninyi wenyewe mliteuliwa kupokea baraka,
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International