Malaika Amtoa Petro Gerezani

12 Wakati huu mfalme Herode aliwatesa vikali baadhi ya waamini katika kanisa. Akaamuru Yakobo, ndugu yake Yohana, auawe kwa upanga.

Read full chapter