Add parallel Print Page Options

Kukiwa bado ni mchana, tunapaswa kuendelea kuzifanya kazi zake Yeye aliyenituma. Usiku unakuja, na hakuna mtu atakayeweza kufanya kazi wakati wa usiku. Nikiwa bado nipo ulimwenguni, mimi ndiye nuru ya ulimwengu.”

Yesu aliposema haya, akatema mate chini kwenye udongo, akatengeneza tope na kumpaka yule asiyeona katika macho yake.

Read full chapter