Font Size
Yohana 8:55-57
Neno: Bibilia Takatifu
Yohana 8:55-57
Neno: Bibilia Takatifu
55 Lakini ninyi hamumfahamu. Mimi namfahamu. Nikisema sim fahamu nitakuwa mwongo kama ninyi. Mimi namfahamu na ninatii maneno yake. 56 Baba yenu Ibrahimu alishangilia alipojua kuwa atashuhudia siku ya kuja kwangu. Aliiona siku hiyo na akafurahi sana.” 57 Wayahudi wakamwambia, “Wewe hujatimiza hata miaka hamsini, itawezekanaje uwe umemwona Ibrahimu?”
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica