Font Size
Yohana 8:47-49
Neno: Bibilia Takatifu
Yohana 8:47-49
Neno: Bibilia Takatifu
47 Mtu wa Mungu hupokea maneno ya Mungu. Ninyi ham pokei maneno ya Mungu kwa sababu ninyi si wa Mungu.”
Yesu Amekuwepo Kabla Ya Ibrahimu
48 Wakamjibu, “Tulitamka sawa tuliposema kuwa wewe ni Msa maria na tena umepagawa na pepo.” 49 Yesu akawajibu, “Sina pepo. Mimi namheshimu Baba yangu bali ninyi mnanivunjia heshima yangu.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica