Add parallel Print Page Options

32 Lakini Yesu akawajibu, “Mimi ninacho chakula ambacho ninyi hamkijui.”

33 Hapo wafuasi wake wakaulizana, “Kwani kuna mtu yeyote hapa aliyemletea chakula mapema?”

34 Yesu akasema, “Chakula changu ni kuimaliza kazi ile ambayo aliyenituma amenipa niifanye.

Read full chapter