Font Size
Warumi 9:9-11
Neno: Bibilia Takatifu
Warumi 9:9-11
Neno: Bibilia Takatifu
9 Kwa maana ahadi yenyewe ilisema, “Nitarudi tena wakati kama huu na Sara atapata mtoto wa kiume.”
10 Na si hivyo tu bali pia wakati Rebeka alipozaa watoto na mume mmoja, Isaki, 11 hata kabla watoto wake mapacha hawajazal iwa wala kutenda jema au baya ili mpango wa Mungu wa kuchagua uendelee, si kwa kutegemea matendo mema bali kwa kufuatana na wito wake -
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica