Add parallel Print Page Options

27 Na Isaya huililia Israeli:

“Wako watu wengi sana wa Israeli,
    kuliko mchanga ulio pwani ya baharini.
    Lakini wachache wao watakaookolewa.
28 Ndiyo, Bwana atakamilisha kwa haraka
    aliyosema atayafanya duniani.”(A)

29 Ni kama vile alivyosema Isaya:

“Ikiwa Bwana Mwenye Uweza wote
    asingewaruhusu watu wachache wakaishi,
tungekuwa tumeangamizwa kabisa,
    kama vile miji miovu ya Sodoma, na Gomora.”(B)

Read full chapter