Font Size
Warumi 8:25-27
Neno: Bibilia Takatifu
Warumi 8:25-27
Neno: Bibilia Takatifu
25 Lakini tunapotumaini kupata kitu ambacho hatunacho, basi tunakingoja kwa subira.
26 Hali kadhalika Roho hutusaidia katika udhaifu wetu. Kwa sababu hatujui kuomba ipasavyo, lakini Roho mwenyewe hutuombea kwa uchungu usioelezeka kwa maneno. 27 Na Mungu ambaye ana chunguza mioyo yetu anafahamu mawazo ya Roho kwa maana Roho huwaombea watakatifu kufuatana na mapenzi ya Mungu.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica