Font Size
Warumi 8:22-24
Neno: Bibilia Takatifu
Warumi 8:22-24
Neno: Bibilia Takatifu
22 Tunajua kwamba mpaka sasa viumbe vyote vimekuwa vikilia kwa uchungu mkali kama ule wa uzazi. 23 Na si hivyo tu, hata sisi ambao tuna matunda ya kwanza ya Roho tunalia kwa uchungu tukisu biri kwa hamu kufanywa kuwa wana wa Mungu, miili yetu itakapowek wa huru kabisa.
24 Kwa maana tuliokolewa kwa tumaini hili. Lakini kama kinachotumainiwa kikionekana hakiwi tumaini tena. Je, kuna mtu anayetumaini kupata kitu alichonacho?
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica