Font Size
Warumi 7:22-24
Neno: Bibilia Takatifu
Warumi 7:22-24
Neno: Bibilia Takatifu
22 Kwa maana ndani yangu ninaifurahia sheria ya Mungu. 23 Lakini ninaona kuna sheria nyin gine mwilini mwangu inayopingana na ile sheria ninayoikubali akilini mwangu. Sheria hii inanifanya kuwa mateka wa sheria ya dhambi ambayo inafanya kazi mwilini mwangu.
24 Ole wangu, mimi mnyonge! Ni nani atakayeniokoa na huu mwili wa kifo?
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica