Font Size
Warumi 7:17-19
Neno: Bibilia Takatifu
Warumi 7:17-19
Neno: Bibilia Takatifu
17 Basi, kwa kweli si mimi hasa nitendaye lile nisilolipenda bali ni ile dhambi ikaayo ndani yangu. 18 Kwa maana ninafahamu kwamba hakuna wema wo wote ndani yangu mimi, yaani katika mwili wangu wa asili. Ingawa nina nia ya kutenda lililo jema, lakini ninashindwa kulitenda. 19 Sitendi lile jema nipendalo bali lile ovu nisilopenda, ndilo nitendalo.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica