Font Size
Warumi 7:16-18
Neno: Bibilia Takatifu
Warumi 7:16-18
Neno: Bibilia Takatifu
16 Kwa hiyo kama ninafanya lile nisilopenda kufanya, hii ina maana kwamba nakubali kuwa sheria ni njema. 17 Basi, kwa kweli si mimi hasa nitendaye lile nisilolipenda bali ni ile dhambi ikaayo ndani yangu. 18 Kwa maana ninafahamu kwamba hakuna wema wo wote ndani yangu mimi, yaani katika mwili wangu wa asili. Ingawa nina nia ya kutenda lililo jema, lakini ninashindwa kulitenda.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica