Add parallel Print Page Options

15 Hivyo wale askari wakachukua pesa na kuwatii makuhani. Na jambo hili[a] bado linasambaa miongoni mwa Wayahudi hata hivi leo.

Yesu Azungumza na Wafuasi Wake

(Mk 16:14-18; Lk 24:36-49; Yh 20:19-23; Mdo 1:6-8)

16 Wale wafuasi kumi na mmoja walikwenda Galilaya, kwenye mlima ambao Yesu aliwaambia waende. 17 Wakiwa mlimani, wafuasi wale walimwona Yesu na wakamwabudu. Lakini baadhi ya wafuasi hawakuwa na uhakika kama alikuwa Yesu.

Read full chapter

Footnotes

  1. 28:15 jambo hili Uongo kuwa mwili wa Yesu uliibwa usiku na wafuasi wake.