Font Size
Matendo Ya Mitume 8:38-40
Neno: Bibilia Takatifu
Matendo Ya Mitume 8:38-40
Neno: Bibilia Takatifu
38 Akaamuru gari lisimamishwe. Wakateremka, yule towashi na Filipo, wakaenda pale kwenye maji. Filipo akamba tiza. 39 Walipotoka katika yale maji, Roho wa Bwana akamchukua Filipo na yule towashi hakumwona tena. Kwa hiyo akaendelea na safari yake akiwa amejawa na furaha. 40 Filipo akajikuta yuko Azoto; akasafiri akihubiri Injili katika miji yote mpaka alipo fika Kaisaria.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica