Add parallel Print Page Options

Yesu Aonya Kuhusu Chanzo cha Dhambi

(Mt 18:6-9; Lk 17:1-2)

42 Yeyote anayemsababisha mmoja wa hawa walio wadogo ambao wananiamini mimi kujikwaa na kuanguka, itakuwa bora kwake ikiwa atatupwa baharini huku amefungwa jiwe la kusagia shingoni mwake. 43 Ikiwa mkono wako unakusababisha ufanye dhambi, ukate. Ni bora kwako kuingia katika uzima wa milele ukiwa na mkono mmoja kuliko kuwa na mikono miwili na kuenda Jehanamu, ambako kuna moto usiozimika. 44 [a] 45 Na ikiwa mguu wako utakusababisha ufanye dhambi, ukate. Ni bora kwako kuingia katika uzima wa milele ukiwa mlemavu kuliko kuwa na miguu miwili na kutupwa Jehanamu. 46 [b] 47 Na kama jicho lako litakusababisha ufanye dhambi, liondoe. Ni bora uingie katika Ufalme wa Mungu ukiwa na jicho moja kuliko kuwa nayo macho mawili na kutupwa Jehanamu, 48 ambapo waliomo watatafunwa na funza wasiokufa na kuchomwa na moto usiozimika kamwe.(A)

Read full chapter

Footnotes

  1. 9:44 Nakala zingine za Kiyunani zinaongeza mstari wa 44, ambao ni sawa na mstari 48.
  2. 9:46 Nakala zingine za Kiyunani zinaongeza mstari wa 46, ambao ni sawa na mstari 48.

Causing to Stumble

42 “If anyone causes one of these little ones—those who believe in me—to stumble,(A) it would be better for them if a large millstone were hung around their neck and they were thrown into the sea.(B) 43 If your hand causes you to stumble,(C) cut it off. It is better for you to enter life maimed than with two hands to go into hell,(D) where the fire never goes out.(E) [44] [a] 45 And if your foot causes you to stumble,(F) cut it off. It is better for you to enter life crippled than to have two feet and be thrown into hell.(G) [46] [b] 47 And if your eye causes you to stumble,(H) pluck it out. It is better for you to enter the kingdom of God with one eye than to have two eyes and be thrown into hell,(I) 48 where

“‘the worms that eat them do not die,
    and the fire is not quenched.’[c](J)

Read full chapter

Footnotes

  1. Mark 9:44 Some manuscripts include here the words of verse 48.
  2. Mark 9:46 Some manuscripts include here the words of verse 48.
  3. Mark 9:48 Isaiah 66:24