Luka 17:23-24
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
23 Watu watawaambia, ‘Tazameni, yuko kule!’ au ‘Tazameni, yuko hapa!’ Kaeni pale mlipo; msitoke kwenda kumtafuta. 24 Iweni na subira kwa sababu Mwana wa Adamu atakaporudi, mtatambua. Siku hiyo atang'aa kama mwanga wa radi umulikavyo angani kutoka upande mmoja hadi mwingine.
Read full chapter
Luke 17:23-24
New International Version
23 People will tell you, ‘There he is!’ or ‘Here he is!’ Do not go running off after them.(A) 24 For the Son of Man in his day[a] will be like the lightning,(B) which flashes and lights up the sky from one end to the other.
Footnotes
- Luke 17:24 Some manuscripts do not have in his day.
© 2017 Bible League International
Holy Bible, New International Version®, NIV® Copyright ©1973, 1978, 1984, 2011 by Biblica, Inc.® Used by permission. All rights reserved worldwide.
NIV Reverse Interlinear Bible: English to Hebrew and English to Greek. Copyright © 2019 by Zondervan.