Font Size
Luka 11:43
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Luka 11:43
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
43 Ole wenu ninyi Mafarisayo, kwa sababu mnapenda kupata viti vya heshima katika masinagogi. Na mnapenda kusalimiwa na watu kwa kuheshimiwa sehemu za masoko.
Read full chapter
Luka 11:43
Neno: Bibilia Takatifu
Luka 11:43
Neno: Bibilia Takatifu
43 “Ole wenu, Mafarisayo! Ninyi mnapenda kuketi viti vya mbele katika masinagogi na kusalimiwa kwa heshima masokoni!
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica