Add parallel Print Page Options

Huyo Mwana huuonesha utukufu wa Mungu. Yeye ni nakala halisi ya asili yake Mungu, na huviunganisha vitu vyote pamoja kwa amri yake yenye nguvu. Mwana aliwasafisha watu kutoka katika dhambi zao. Kisha akaketi upande wa kuume[a] wa Mungu, aliye Mkuu huko Mbinguni.

Read full chapter

Footnotes

  1. 1:3 upande wa kuume Mahali pa heshima na mamlaka (nguvu).