Tunajua kwamba sheria ni njema iwapo inatumika ipasavyo. Lakini tuelewe kwamba sheria haikuwekwa kwa ajili ya wenye haki, bali kwa ajili ya waasi na wasiotii: wasiomcha Mungu na wenye dhambi; wale wasio watakatifu, walio wachafu; wale wanaow aua baba zao na mama zao; wale wanaoua binadamu; 10 wale wal iowazinzi, wafiraji; wale wanaoteka watu nyara, na waongo, na wanaoapa kwa uwongo; na mengine mengi ambayo ni kinyume cha mafundisho ya kweli,

Read full chapter