Add parallel Print Page Options

Lakini wengine wamekosa jambo hili la msingi katika mafundisho yao na wamepoteza mwelekeo. Sasa wanazungumza juu ya mambo yasiyo na msaada kwa mtu yeyote. Wanataka kuwa walimu wa sheria,[a] lakini hawafahamu mambo wanayosema, wanasema kwa ujasiri wote juu ya mambo wasiyoyaelewa wenyewe.

Tunajua kwamba sheria ni nzuri ikiwa mtu anaitumia kwa usahihi.

Read full chapter

Footnotes

  1. 1:7 sheria “Sheria” pengine ni “sheria ya Mungu” ambayo Mungu alimpa Musa kwa ajili ya watu wake. Tazama Sheria katika Orodha ya Maneno. Pia katika mstari wa 8.