Font Size
1 Petro 4:8-10
Neno: Bibilia Takatifu
1 Petro 4:8-10
Neno: Bibilia Takatifu
8 Zaidi ya yote, pen daneni kwa moyo wote, maana upendo hufunika dhambi nyingi sana. 9 Karibishaneni pasipo manung’uniko. 10 Kila mmoja na atumie kipawa alichopewa kuwahudumia wengine, kama mawakili waaminifu wa neema mbalimbali za Mungu.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica