Font Size
1 Wakorintho 7:3-5
Neno: Bibilia Takatifu
1 Wakorintho 7:3-5
Neno: Bibilia Takatifu
3 Mume atimize wajibu wake wa ndoa kwa mkewe; na hali kadhal ika mke kwa mumewe. 4 Kwa maana mke hatawali mwili wake mwe nyewe, bali mume wake ndiye autawalaye. Vivyo hivyo, mume hata wali mwili wake mwenyewe, bali mkewe ndiye anayeutawala. 5 Msiny imane, isipokuwa kama mmekubaliana kufanya hivyo kwa muda mfupi ili muwe na nafasi nzuri ya maombi. Lakini baada ya muda huo rudianeni tena shetani asije akapata nafasi ya kuwajaribu kwa sababu ya kushindwa kujizuia.
Read full chapter
1 Wakorintho 7:10
Neno: Bibilia Takatifu
1 Wakorintho 7:10
Neno: Bibilia Takatifu
10 Kwa wale waliooana ninayo amri, si amri yangu ila ni ya Bwana. Mke asimwache mumewe.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica