18 伯大尼离耶路撒冷不远,大约只有三公里的路, 19 很多犹太人来看玛大和玛丽亚,为她们兄弟的事来安慰她们。

20 玛大听说耶稣来了,就去迎接祂,玛丽亚却仍然坐在家里。

Read full chapter

18 Mji wa Bethania ulikuwa kama kilomita tatu[a] kutoka Yerusalemu. 19 Wayahudi wengi wakaja ili kuwaona Martha na Mariamu. Walikuja ili kuwafariji kwa ajili ya msiba wa kaka yao, Lazaro.

20 Martha aliposikia kuwa Yesu alikuwa anakuja, alikwenda kumpokea. Lakini Mariamu alibaki nyumbani.

Read full chapter

Footnotes

  1. 11:18 kilomita tatu Kwa maana ya kawaida, “stadia 15” ambazo ni kama umbali wa kilomita tatu hivi.

18 Now Bethany(A) was less than two miles[a] from Jerusalem, 19 and many Jews had come to Martha and Mary to comfort them in the loss of their brother.(B) 20 When Martha heard that Jesus was coming, she went out to meet him, but Mary stayed at home.(C)

Read full chapter

Footnotes

  1. John 11:18 Or about 3 kilometers