帖撒羅尼迦前書 5:16-28
Chinese Contemporary Bible (Traditional)
16 要常常喜樂, 17 不斷地禱告, 18 凡事謝恩,因為這是上帝在基督耶穌裡給你們的旨意。
19 不要抑制聖靈的感動, 20 不要輕視先知的信息。 21 凡事都要小心察驗,持守良善的事, 22 杜絕所有的惡事。
23 願賜平安的上帝使你們完全聖潔!願祂保守你們的靈、魂、體,使你們在主耶穌基督再來的時候無可指責! 24 呼召你們的主是信實可靠的,祂必為你們成就這事。
25 弟兄姊妹,請為我們禱告。 26 要以聖潔的吻問候眾弟兄姊妹。 27 最後,我奉主的名吩咐你們把這封信讀給所有弟兄姊妹聽。
28 願我們主耶穌基督的恩典與你們同在!
Read full chapter
1 Wathesalonike 5:16-28
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
16 Mwe na furaha daima. 17 Msiache kuomba. 18 Shukuruni kwa kila jambo. Hivi ndivyo Mungu anavyotutaka tuishi katika Kristo Yesu.
19 Msiizimishe kazi ya Roho Mtakatifu. 20 Msiuchukulie unabii kama kitu kisicho cha muhimu. 21 Lakini pimeni kila kitu. Lishikeni lililo jema, 22 na mkae mbali na kila aina ya ovu.
23 Tunaomba kwamba Mungu mwenyewe, Mungu wa amani, atawafanya muwe watakatifu mkiwa wake. Tunaomba kwamba katika roho yote, nafsi yote, na mwili mzima mtahifadhiwa salama pasipo lawama Bwana wetu Yesu Kristo atakapokuja. 24 Yeye awaitae atawatendea haya. Mnaweza kumtumainia.
25 Kaka na dada zangu, tafadhali mtuombee. 26 Wasalimuni ndugu wote kwa salamu maalum ya watu wa Mungu.[a] 27 Ninawaagiza kwa mamlaka ya Bwana kuusoma walaka huu kwa waamini wote huko. 28 Neema ya Bwana wetu Yesu kristo iwe nanyi nyote.
Read full chapterFootnotes
- 5:26 salamu maalum ya watu wa Mungu Kwa maana ya kawaida, “busu takatifu”.
© 2017 Bible League International