11 Sasa, wapendwa dada zangu na kaka zangu mjazwe furaha. Jitahidini kutengeneza njia zenu, fanyeni nilichowaomba kufanya. Mpatane kila mmoja na mwenziwe, na ishini katika amani. Ndipo Mungu wa upendo na amani atakuwa pamoja nanyi.
12 Msalimiane kwa salamu maalum ya watu wa Mungu.[a] Watakatifu wote wa Mungu hapa nao wanawasalimu.
13 Ninawaombea ili ninyi nyote mfurahie neema ya Bwana Yesu Kristo, upendo wa Mungu, na Ushirika[b] wa Roho Mtakatifu.
Read full chapter11 Sasa, wapendwa dada zangu na kaka zangu mjazwe furaha. Jitahidini kutengeneza njia zenu, fanyeni nilichowaomba kufanya. Mpatane kila mmoja na mwenziwe, na ishini katika amani. Ndipo Mungu wa upendo na amani atakuwa pamoja nanyi.
12 Msalimiane kwa salamu maalum ya watu wa Mungu.[a] Watakatifu wote wa Mungu hapa nao wanawasalimu.
13 Ninawaombea ili ninyi nyote mfurahie neema ya Bwana Yesu Kristo, upendo wa Mungu, na Ushirika[b] wa Roho Mtakatifu.
Read full chapter© 2017 Bible League International