Add parallel Print Page Options

16 Simoni Petro akajibu, “Wewe ni Masihi, Mwana wa Mungu aliye hai.”

17 Yesu akajibu, “Umebarikiwa, Simoni mwana wa Yona. Hakuna aliyekufundisha hilo ila Baba yangu wa mbinguni ndiye amekuonesha mimi ni nani.

Read full chapter