34 Nawaambieni kweli, hakika kizazi hiki hakitapita kabla mambo haya hayajatokea.

Read full chapter

34 Ninawahakikishia kuwa mambo haya yote yatatokea wakati ambao baadhi ya watu wa nyakati hizi wakiwa bado hai.

Read full chapter