Font Size
Marko 12:14
Neno: Bibilia Takatifu
Marko 12:14
Neno: Bibilia Takatifu
14 Wakamjia, wakamwambia, “Mwalimu, tunafahamu kuwa wewe huwaambia watu ukweli pasipo kujali watu watasema nini. Wala hujali cheo cha mtu bali unafundisha njia ya Mungu kwa kweli. Je, ni halali au si halali kulipa kodi kwa Kais ari?
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica