Mahubiri Ya Yohana Mbatizaji

Huu ni mwanzo wa Habari Njema ya Yesu Kristo, Mwana wa Mungu.

Read full chapter

Yohana Atayarisha Njia kwa Ajili ya Yesu

(Mt 3:1-12; Lk 3:1-9,15-17; Yh 1:19-28)

Mwanzo wa Habari Njema za Yesu Masihi,[a] Mwana wa Mungu,[b]

Read full chapter

Footnotes

  1. 1:1 Masihi Yaani “Kristo”, tafsiri ya Kiyunani ya neno la Kiebrania “Masihi”. Tazama Kristo na Masihi katika Orodha ya Maneno. Pia katika mstari wa 20 na katika kitabu chote hiki.
  2. 1:1 Mwana wa Mungu Nakala zingine za Kiyunani hazina maneno haya.