Font Size
Luka 11:21-22
Neno: Bibilia Takatifu
Luka 11:21-22
Neno: Bibilia Takatifu
21 Mtu mwenye nguvu aliye na silaha anapoilinda nyumba yake, mali yake ni salama. 22 Lakini mtu mwenye nguvu zaidi akimshambulia na kumshinda, atamnyang’anya silaha alizozitegemea na kugawanya mali yote.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica