11 Kwa maana leo katika mji wa Bethlehemu, amezaliwa Mwokozi ambaye ndiye Kristo Bwana.

Read full chapter

11 Kwa sababu leo katika mji wa Daudi amezaliwa Mwokozi, ndiye Kristo,[a] Bwana.

Read full chapter

Footnotes

  1. 2:11 Kristo Kwa maana ya kawaida “Kristo”, ni tafsiri ya Kiyunani ya neno la Kiebrania “Masihi” linalomaanisha “Mpakwa Mafuta”, ambapo katika Agano la Kale linawakilisha sherehe ya kupakwa mafuta (Kuwekwa Wakfu) mfalme mpya. Pia linamaanisha Mfalme Mteule. Tazama Kristo na Masihi katika Orodha ya Maneno. Pia katika mstari wa 26 na katika kitabu chote hiki.