Yuda 8
Neno: Bibilia Takatifu
8 Ndivyo walivyo hawa watu. Ndoto zao huwaongoza wachafue miili yao, wasitii mamlaka; na watukane viumbe watakatifu walioko mbinguni.
Read full chapter
Yuda 8
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
8 Ni sawasawa na watu hawa waliojiingiza kwenye kundi lenu. Wanaongozwa na ndoto, wanajichafua wenyewe kwa dhambi. Wanapuuza mamlaka ya Bwana na kusema mambo mabaya kinyume na walio watukufu.[a]
Read full chapterFootnotes
- 1:8 watukufu Hapa inamaanisha viumbe wa mbinguni, malaika.
Jude 8
New International Version
8 In the very same way, on the strength of their dreams these ungodly people pollute their own bodies, reject authority and heap abuse on celestial beings.(A)
Copyright © 1989 by Biblica
Copyright © 2017 by Bible League International
Holy Bible, New International Version®, NIV® Copyright ©1973, 1978, 1984, 2011 by Biblica, Inc.® Used by permission. All rights reserved worldwide.
NIV Reverse Interlinear Bible: English to Hebrew and English to Greek. Copyright © 2019 by Zondervan.